Kiawabakal

Kiawabakal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waawabakal katika jimbo la New South Wales.

Tangu karne ya 19, hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiawabakal ilitoweka muda mrefu. Hata hivyo kuna bidii ya kuifufua angalau tangu mwaka 2007.

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawabakal kiko katika kundi la Kiworimi.


Developed by StudentB